Hyo hapo samsung galaxy s10e... Gb:128/6ram imenyooka sana Betry linakaa sana na charge sanaaaaaaaaa... Camera zote n clean mnooo yaan mnoooo... znakumlipa had chunus. Body yake imenyooka sanaaaa haina mkwaruzo wala michubuko...
$275