*Dereva wa kike anahitajika* Eneo la kazi ni Kigamboni Kazi ni kuendesha watoto/ kuendesha staff kazini siku za dharura Siku za kazi ni jumatatu mpaka Jumamosi. Kuanzia mapema asubuhi mpaka saa 1200 jioni Mshahara ni laki 3 Vigezo ni lazima uwe na leseni ya C na una uzoefu wa zaidi ya miaka 5 Tuma sms 0658373111
FREE