Imagine Unauziwa kashamba na 100 k na Iko karibu na main tarmac road.. 1Size yake ni 50 by 100. 2Shopping centre Iko karibu. 3Majirani wako hapo tayari. 4Shule ziko karibu 5Maji inapatika kwa urahisi. 5Stima inapatikana. 6Kufika uko ni dakika 20 TU kutoka Malindi Town.. 7Tittle deed tunakutengenezea kwa hiyo pesa umelipia shamba. More
KSh100,000