Reporting lost child Name. victor mwendwa age 7 years old disappeared yesterday after church service. We are trying to get help to enyone mwenye amepatana na mtoto amepotea. Alipotelelea eneo ya dadora maili Saba. Enyone mwenyewe atapatana nayeye apige simu 0706883275. Ama apige report kwa kituo Cha polisi. Alikuwa amevaa Jean trouser and a brown Tshirt
FREE