Bajaja boxer 4gear KES55,000 Bajaj boxer 4 gear Haina shida yeyote Engine Iko sawa kabisaa Nimeeka battery mpya this week Tyre ya nyuma ni mpyampya Wenye wanatambua 4gear inakuanga myama na bike ya maana sana Inataka 55000/55k Myama Iko RUIRU.
KES55,000