Bajaj boxer 4gear KMDW KES50,000 Nimepunguza bei sasa Bajaj boxer 4 gear Haina shida yeyote Engine Iko sawa kabisaa Nimeeka battery mpya this week Tyre ya nyuma ni mpyampya Wenye wanatambua 4gear inakuanga myama na bike ya maana sana Inataka 50000/50k Mnyama Iko RUIRU.
KES50,000