ROTUBA ORGANIC GRANULATED BIO FERTILIZER

Nunua mbolea ya Rotuba Organic Bio Fertilizer kwa shilingi 3,200/- kwa mfuko wa kilo hamsini. Mifuko miwili itatosha ekari moja. Inaondoa acid (tindikali) kwenye mchanga, inazalisha chakula na inaimarisha mchanga. Tunakufikishia mbolea hadi senta iliyoko karibu nawe. Wasiliana nasi kupitia simu nambari 0713352440- Rispah Maelezo zaidi: https://www.youtube.com/watch?v=OY0xm2hp0Bo

KES3,200

seller's name'
Name: Mercy N
seller phone number
Location: Nairobi, Kenya
uploaded on
Date: 08 September, 2024

Contact Seller

seller phone number Phone Number: 0713352440