Shamba linauzwa kwa 100000 Kila ekari na ni ekari 85 zenye zinauzwa. Shamba liko na mikorosho, mchanga pia ni Mzuri kwa kupanda mananasi na minazi na pia liko na cheti (title deed tayari). Lina patikana eneo la Magarini, Baricho County ya Kilifi. Kwa maswali ama kama unahitaji tafadhali njoo inbox ama upige hii number 0708591481
KSh100,000